Psalm Lyrics

Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.

Search This Blog

Powered by Blogger.

Tuesday, 22 October 2024

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video ) | Lyrics

 


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Amenijibu zaidi ya vile nivyo muomba

Nimemuomba Kazi amenipa na ndoa

Nimemuomba watoto amenipa na gari

Huyu yesu anazidi kuninyeshea mvua ya baraka eh

(Chants)


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Nii Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka


Ananiongezea baraka

Naiona tofauti ya leo na jana

Ananiongezea baraka

Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka




Yeye aliye ia—nzisha safari

Ataimaliza,yeye mwenye huru

Anajua kutenda, anajua kujali

Anaitwa Mwokozi yesu (Eze Ebube)


Yeye aliye ia—nzisha safari

Ataimaliza,yeye mwenyewe

Anajua kutenda, anajua kujali

Anaitwa Mwokozi yesu (Eze Ebube)


Kanibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Kanibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Kanibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Kanibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Amenipa na watoto

(Amenifanyia amani)

Amenipa familia nzuri

(Amenifanyia amani)


Amenibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Amenibariki nyumbani

(Amenifanyia amani)

Amenipa na elimu

(Amenifanyia Amani)

Amenipa biashara nzuri

(Amenifanyia Amani)


Nikienda kushoto

(Yupo)

Nikienda Kulia

(Yupo)

Nikienda mbele na nyuma

(Kanizingira Pande zote)


Nikienda kushoto

(Yupo)

Nikienda Kulia

(Yupo)

Nikienda mbele nyuma yoo

(Kanizingira Pande zote)


Kanibariki shambani 

(Amenifanyia amani)

Amenibariki mjini

(Amenifanyia amani)

Huyu Yesu amenibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Amenibariki mjini

(Amenifanyia amani)

Huyu Yesu amenibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Kanibariki mjini

(Amenifanyia amani)


Kanipa familia Nzuri

(Amenifanyia amani)

Amenipa marafiki wazuri

(Amenifanyia amani)

Huyu Yesu ameniinua

(Amenifanyia Amani)

Huyu Yesu amenipa jina mpya

(Amenifanyia Amani)

Amenitoa Mavumbini na kuniweka juu

(Amenifanyia amani)

Huyu Yesu amenivuta machozi

(Amenifanyia amani)


Nikienda kushoto

(Yupo)

Nikienda Kulia

(Yupo)

Nikienda mbele na nyuma

(Kanizingira Pande zote)


Nikienda kushoto

(Yupo)

Nikienda Kulia

(Yupo)

Nikienda juu chini ah

(Kanizingira Pande zote)


(Chants and dance)


Amenifanyia eh

(Amenifanyia Amani)

Kanibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Kanibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Kanibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Kanibariki shambani

(Amenifanyia amani)

Kanibariki nyumbani

(Amenifanyia Amani)

Amenipa na watoto

(Amenifanyia amani)

Amenipa familia nzuri

(Amenifanyia amani)

Amenipa na huduma

(Amenifanyia amani)

Watu wana barikiwa 

(Amenifanyia Amani)

Amenipa na neema

(Amenifanyia amani)

Kanibariki Mjini 

(Amenifanyia amani)

Amenifanyia amani

(Amenifanyia amani)

Amenifanyia Amani

(Amenifanyia amani)














No comments:

Post a Comment

Subscribe for Updates