Psalm Lyrics

Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.

Search This Blog

Powered by Blogger.

Monday, 20 February 2023

RAFIKI MWEMA | Chandelier de Gloire | LYRICS

 


Kuna yule aliyenipenda 
Si kwa ajili ya mali 
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala, hasizinzii 
Hata leo hajawai kunichoka 

Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu 
Ingawazaje dhambi, makosa yangu 
Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini, yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake, Yesu yeye wanishangaza

Yesu, huyu Yesu, Rafiki mwema
Yesu, huyu Yesu ninampenda (Repeat)

Yesu Kristo Bwana wangu, ni Rafiki mwema (x4)

Yesu huyu Yesu Rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninampenda (Reapeat)

Tuesday, 14 February 2023

Mungu Wetu By Israel Ezekia (Official Video) | LYRICS





Mungu Wetu,
Mwenye uweza wote,
Tunakuimamia,
Mtawala wa Kila kilichopo, 
Tunakupa sifa wewe

Twa kwabudu Yesu,
Twakuinua Yesu, Wema wako,
Fadhili zako,
Huruma zako,
Uweza wako, 
Yesu, wee wa pekee

Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video) | LYRICS

 



Wewe ni Mungu 
Hakuna mwingine wa kuabudiwa 
Unastahili sifa zote 
Wewe ni Bwana aah 

Tunaleta sifa zetu kwako 
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu 
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana 

Tunaleta sifa zetu kwako 
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu 
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana 

Usifiwe Yahweh 
Usifiwe Yahweh 

Kazi yako ya msalaba 
Yanifanya kuwa salama 
Usifwe Yahweh 
Upendo wako wa milele 
Umenifanya niendelee 

Usifiwe Yahweh 
Usifiwe Yahweh 
Usifiwe Yahweh 
Usifiwe Yahweh 

Halleluyah Yahweh 
Halleluyah Yahweh 

Monday, 13 February 2023

Zoravo - Sina cha kukurudishia (Ahsante) | LYRICS


Sina cha kukurudishia eh Bwana

Kwa fadhili zako maishani mwangu
Umefanya yaliyo makubwa

Wewe ni mwema

Wewe ni mwema (repeat)

 

Ahsante, ahsante, ahsante

Kwa fadhili zako (repeat)

Subscribe for Updates