Psalm Lyrics

Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.

Search This Blog

Powered by Blogger.

Thursday, 24 October 2024

Moyo | Eliya Mwantondo ft Paul Seleli | Lyrics



Naomba Uniguze Bwana

Naomba Uniguze Bwana

Guza moyo wangu

Guza moyo wangu


Naomba Uniguze Bwana

Naomba Uniguze Bwana

Guza moyo wangu

Guza moyo wangu


Naomba uniponye Bwana

Naomba uniponye Bwana

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu


Naomba uniponye Bwana

Naomba uniponye Bwana

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu



Naomba Uniguze Bwana

Naomba Uniguze Bwana

Guza moyo wangu

Guza moyo wangu


Naomba unigange Bwana

Naomba unigange Bwana

Ganga moyo wangu

Ganga moyo wangu


Naomba Uniguze Bwana

Naomba Uniguze Bwana

Guza moyo wangu

Guza moyo wangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Guza moyo wangu

Guza moyo wangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu


Moyo wangu, Moyo wangu

Nataka Nikuabudu wewe Yesu

Moyo wangu


Moyo wangu, Moyo wangu

Nataka ukuabudu wewe Yesu

Moyo wangu


Moyo wangu, Moyo wangu

Nataka ukuabudu wewe Yesu

Moyo wangu


Maisha yangu, Maisha yangu

Nataka ya kuabudu wewe Yesu

Maisha yangu


Ufahamu wangu, Ufahamu wangu

Nataka ukuabudu wewe Yesu

Ufahamu wangu


Kinywa changu, Kinywa changu

Nataka ukuabudu wewe Yesu

Kinywa changu


Mwili wangu, Mwili wangu

Nataka ukuabudu wewe Yesu

Mwili wangu


Mawazo yangu, Mawazo yangu

Nataka yakuabudu wewe Yesu

Mawazo yangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Guza moyo wangu

Ponya moyo wangu


Yesu wee eeh ewe

Yesu wee eeh ewe

Ponya moyo wangu

Ponya moyo wangu



















No comments:

Post a Comment

Subscribe for Updates