Psalm Lyrics

Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.

Search This Blog

Powered by Blogger.

Saturday, 5 August 2023

Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe | Henrick Mruma ft. Clara Minja | Song Lyrics


 
Wewe Mungu wa ajabu,

Unafanya Maajabu

Pale ninaposhindwa

Unafanya Mwenyewe  [Repeat]

 

Zaidi ya fahamu zangu

Zaidi ya mawazo yangu

Zaidi ya akili yangu

Zaidi ya upeo wangu [Repeat}

 

Uko Mwenyewe

Uko Mwenyewe

Hakuna wa mfano wako Bwana

Uko mwenyewe. [Repeat]

 

Tazama naenda mbele, wala Hakuna

Narudi nyuma tena,

Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]

 

(Kama wewe, Kama wewe)

Wala hakuna

(Kama wewe, Kama wewe)

Lakini siwezi kumwona kama wewe. [Repeat]

 

Tazama naenda mbele, wala Hakuna

Narudi nyuma tena,

Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]

 

Wa mfano wako

Wa uweza wako

Wa mfano wako

Wa uweza wako. [Repeat]

 

Tazama naenda mbele, wala Hakuna

Narudi nyuma tena,

Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]

 

 

 

 

 

 

No comments:

Post a Comment

Subscribe for Updates