Psalm Lyrics

Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.

Search This Blog

Powered by Blogger.

Wednesday, 3 May 2023

HAKUNA USILOWEZA | LYRICS - JACKIE M. OBIERO

 


Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza
 
Nakwabudu kwa Roho
Naye Roho anipa ufahamu
Kwamba wewe ni mungu
Ushindwi na lolote
Wewe ni Mungu wa vyote
 
Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza
Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza
 
Waonyesha rehema kwa yule upendaye,
Sio kwa nguvu, mamlaka, ila kwa Roho wako tu,
Ni rehema yako kwa mwanadamu kumfanyia mema
Ni rehema yako tu, kwa mwanadamu wee kumfanyia mema
Ni rehema, rehema, rehema yako, watufanyia mema
Ah ukipendezwa, pendezwa wewe wa angaza njia zetu uu
Mungu mkubwa, Mungu mkubwa eh Haku-u-una
 
Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza
 
Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza
 
Hakuna usiloweza,
Hakuna usiloweza


No comments:

Post a Comment

Subscribe for Updates