Utendaye mambo makuu yasiyotafutikana
Mambo ya ajabu yasiyohesabika
Ufanyaye njia jangwani
Na mito ya maji nyikani
Eeeh Mungu mwaminifu
usiyeshindwa
Mwenye Nguvu, Ni wee
mwenye mamlaka, ni wee
Mwenye uweza, ni wee
Ehh Yahwe, ni wee
Ooh Yahwe, Yahwe
Oooh Yahwe
Twakuheshimu Twakuabudu
No comments:
Post a Comment