Your source for Gospel music lyrics and inspirational content.
Sina cha kukurudishia eh Bwana
Kwa fadhili zako maishani mwangu Umefanya yaliyo makubwa
Wewe ni mwema
Wewe ni mwema (repeat)
Ahsante, ahsante, ahsante
Kwa fadhili zako (repeat)
No comments:
Post a Comment